Elimu ya Uwekezaji katika Soko la Mitaji na Dhamana

SOLOMON stockbrokers wakala wa soko la hisa la Dar es Salaam, tunapenda kutoa fursa ya Elimu ya Uwekezaji kwa watu wenye nia ya dhati ya kufahamu kuhusu soko letu la mitaji na dhamana.Elimu hii itaelezea juu ya uwekezaji kwenye hisa, vipande na hatifungani.

Elimu itatolewa kwa Makundi yafuatayo:

a. Makampuni ya UMMA & watu binafsi
b. VICOBA & Vikundi vya wajasiriamali
c. Vikundi vyovyote vya wawekezaji

Jinsi ya Kushiriki:

  • Jiunge kwenye kikundi cha watu wasiopungua kumi iwe kwenye kundi lolote tajwa
    hapo juu.
  • Tuma maombi ofisini kwetu kupitia barua pepe wekeza@solomon.co.tz

Mahali:
Popote kundi/jumuiya yenu itakapopendekeza, maadam kuwe penye mpangilio mzuri.
Epuka matapeli kwa kuzingatia namba za simu na anuani ya barua pepe iliyotolewa.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia:

Simu: +255 22 212 4495  /  +255 714 269090  /  764 269090

Barua Pepe: wekeza@solomon.co.tz

Tangazo hili limehidhinishwa na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA)