Utaratibu Wa Kuhamisha Umiliki Wa Hisa Za Marehemu (Mirathi)

by SOLOMON

• Cheti halisi cha hisa
• Nakala ya cheti cha kifo
• Muhtasari wa kikao cha familia
• Nakala ya barua ya usimamizi wa mirathi kutoka mahakamani
• Nakala ya barua ya hesabu za mgawanyo wa mali kutoka mahakamani (fomu no. VI / Amri ya mahakama ya kuhamisha hisa kwenda kwa mrithi) Iwapo hisa zinahamishiwa kwa mrithi/warithi
• Nakala ya kitambulisho cha msimamizi wa mirathi au mrithi
• Nakala ya cheti cha ndoa iwapo mahusiano yao ni mke na mme
• Nakala ya cheti cha kuzaliwa iwapo mahusiano yao ni mzazi na mtoto au kaka na dada
• Kujaza fomu (Private Transfer na KYC )


Fomu zote zinapatikana katika tovuti yetu www.solomon.co.tz

kuhamisha-umiliki-wa-hisa-za-marehemuPakua / Download