NMB Bank: Wanahisa Kulipwa Gawio la Sh286/=
12th May, 2023
All News, Dividend News, NMB News
Benki ya NMB inatoa taarifa kwamba mkutano mkuu wa 23 wa mwaka wa wanahisa wake utakaofanyika kwa njiaya mtandao kuanzia saa 4 asubuhi siku ya Ijumaa, Juni 2, 2023.
Kusoma taarifa kamili kuhusiana na mkutano huu, tembelea linki ifuatayo