
MCB: Notisi ya Mkutano Mkuu wa 6 wa Wanahisa
9th September, 2022
All News, Annual General Meeting News, Mwalimu Commercial Bank
Taarifa inatolewa kuwa mkutano mkuu wa mwaka wa 6 wa Mwalimu Commercial Bank Plc utafanyika katika ukumbi wa Royal Tughimbe Hotel – Mbeya siku ya Alhamisi, Oktoba 6, 2022 kuanzia saa 5:00 Asubuhi.
Kusoma taarifa kamili ya notisi hii, tembelea link ifuatayo