Maendeleo Bank Plc: Taarifa Ya Mkutano Mkuu wa 9 wa Mwaka

25th May, 2023

All News, Annual General Meeting News, Maendeleo Bank News

Taarifa inatolewa kwamba, mkutano mkuu wa wanahisa wa Maendeleo Bank PLC utafanyika siku ya Jumamosi tarehe 24 Juni 2023, katika ukumbi wa Msasani, Dar es Salaam, kuanzia saa nne kamili(4:00) asubuhi.

Kusoma taarifa kamili kuhusu huu mkutano mkuu, tembelea link ifuatayo

MBP-9-Taarifa-Ya-Mkutano-Mkuu-2023