Maendeleo Bank Kulipa Gawio kwa Mwaka Ulioishia Disemba 2023

5th August, 2024

All News, Dividend News, Maendeleo Bank News

Bodi ya wakurugenzi ya Mendeleo Bank Plc imependekeza gawio la shilingi 44 kwa kila hisa iliyotolewa na kulipwa kufuatana na sera ya benkiya gawio, ikizingatia ruhusa ya Mkutano Mmkuu wa Mwaka wa wanahisa uliofanyika tarehe 22 Juni, 2024

Kusoma notisi hii ya malipo ya gawio, tembelea link ifuatayo

Maendeleo Bank Kulipa Gawio 2024Download