Dira ya Taifa Ya Maendeleo 2050
17th July, 2025
Katika kujiwekea mipango thabiti ya maendeleo, mwaka 2000 Tanzania ilizindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, ambayo ililenga kulijenga taifa kuwa nchi ya kipato cha kati. Maeneo ya kipaumbele yalikuwa ni kilimo cha kisasa, viwanda, miundombinu, na teknolojia. Dira 2025 imeleta mabadiliko makubwa katika maisha ya watu, ukuaji wa uchumi, na utawala, huku kukiwa na ongezeko la ushiriki wa wanawake katika siasa na uchumi.
Kusoma taarifa kamili, bofya linki ifuatayo