
DCB: Taarifa Ya Mkutano Mkuu wa Ishirini na Moja wa Wanahisa
25th May, 2023
All News, Annual General Meeting News, DCB News
Taarifa inatolewa kwamba, mkutano mkuu wa ishirini na moja wa wanahisa wa DCB Commmercial Bank Plc, Utafanyika siku ya Jumamosi tarehe 17 Juni 2023, katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, kuanzia saa tatu kamili(3:00) asubuhi.
Kusoma taarifa kamili kuhusu huu mkutano mkuu, tembelea link ifuatayo