Afriprise Plc: Taarifa ya Mkutano Mkuu wa 20 wa Wanahisa

6th November, 2025

Afriprise News, All News, Annual General Meeting News

Kampuni inapenda kuwajulisha wanahisa wote kuwa mkutano mkuu wa wanahisa wa kampuni ya uwekezaji ya AFRIPRISE utafanyika siku ya Jumamosi, tarehe 15/11/2025, kuanzia saa 3:00 Asubuhi, kwa njia ya mtandao.

Kusoma taarifa kamili, tembelea link ifuatayo

Taarifa ya Mkutano Mkuu wa Afriprise Plc 2025Download