Dar es Salaam. The silence that engulfed Vodacom's initial public offering (IPO) results has finally come to an end after the mobile phone operator confirmed the extension.

This follows the government's decisioin to allow foreign investors to participate.The IPO was extended for three weeks starting yesterday.

"The IPO has been extended for three more weeks between July 10 and July 28, so potential investors will be able to purchase shares at the same amount Sh850 per share. Announvement for results of offer will be on August 7 and listing and trading of shares at the Dar es Salaam Stock Exchange will commence on August 15", the company said.

The timetable was also available on the Vodacom website.

The company returned to the market after the government amended the Electronic and Postal Communications Act (Epoca) 2010 through the Finance Act 2017, which allows the foreign investors to take part in the local IPOs.

The Law requires telecommunication firms to offload 25% of their stake through the IPOs, but the foreign investors were not allowed in order to enhance local participation in the industry.

 

Source:THE CITIZEN Tuesday 11 July 2017

TANZANIA’S APPROVAL OF NEW NATURAL RESOURCES BILLS

Swala Oil & Gas (Tanzania) PLC (“Swala” or the “Company”) notes the approval by the Tanzanian Parliament of three bills particularly relating to mining companies in Tanzania.

The three bills (the Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Bill 2017, the Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re-Negotiation of Unconscionable Terms) Bill 2017, and the Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act 2017) primarily seek to address “Unconscionable Terms” in existing agreements in the Natural Resources Sector and predominantly in the mining sector. These “Unconscionable Terms” are those that are considered contrary to good conscience or whose implementation would unreasonably disadvantage the interests of the People and the United Republic of Tanzania. They relate primarily to historical contracts entered before the implementation of the current fiscal regime or where incentives were granted to encourage that activity. The bills also include matters, such as local content investment, integrity pledges and anti-pollution measures, that oil and gas companies are already subject to by operation of the Petroleum Act 2015.

Swala operates the Kilosa-Kilombero licence in Tanzania, a licence awarded under the 2008 Model PSA. None of Swala’s current or planned asset or corporate operations involve agreements outside the scope of the fiscal framework or any that might constitute “Unconscionable Terms”. The Board therefore sees little direct risk to its operations because of this legislation at this time.

Dr. David Mestres Ridge (Swala CEO) said: “Whilst we understand that the process primarily affects the mining sector, some of the provisions of the legislation extend to the oil and gas sector, a sector that is crucial to the country’s stated desire to become a middle-income country and to the success of the 2016/17-2020/21 National Five-Year Development Plan. In passing these bills, Parliament and the Government of Tanzania have expressed a desire to review the terms of mining contracts that may have been necessary at the time but which now may strike observers as ‘unconscionable’, a review that we trust shall be balanced by the need to provide contractual and investment stability to the rest of the natural resources sector.”

 

For further information please contact:

 

Swala Oil & Gas (Tanzania) plc

Dr. David Mestres Ridge (CEO)

This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

www.swala-energy.co.tz

Leo Tarehe 5 Mei 2017 Soko la Hisa la Dar es Salaam(DSE) likishirikiana na  Kampuni ya Kitanzania Maxcom Africa – Maxmalipo,  limezindua mfumo wa mauzo na manunuzi ya hisa kwa njia ya mtandao wa intaneti.

DSE tunayo furaha kubwa sana kuzindua mfumo huu madhubuti ambao unawezesha Watanzania waliopo popote duniani kushiriki katika soko letu la hisa.

Katika uzinduzi huu Maxcom Africa ambao ni wavumbuzi wa mfumo huu wameeleza kwamba,  mtumiaji yeyote anaweza kununua hisa na kulipia kwa njia  ya Mitandao ya simu iliyopo Tanzania (Mpesa,Tigopesa,Airtel Money), kadi za benki (Visa au Master Card) na pia kupitia mawakala wa Maxmalipo popote nchini.

Bw. Deogratius Lazari ambaye ni Mkuu wa kitengo cha Masoko na Ubunifu, Maxcom amefafanua kwamba: “mteja anaweza kununua hisa kwa kuingia kwenye Tovuti ya DSE (www.dse.co.tz) na kuchagua menyu ya “Trade Online”  au kuingia kwenye  www.trade.dse.co.tz  ili kuweza kuingia kwenye mfumo huu mpya”.

Kitendo cha mteja kuingia kitampa nafasi ya kusajili akaunti na kuchagua hisa za kampuni kwa ajili ya manunuzi na kisha kufanya malipo kwa njia zilizo ainishwa.

Katika Uzinduzi huu Bw. Patrick Mususa amefafanua kwamba: “katika mageuzi makubwa ya masoko ya hisa ya Afrika Mashariki, DSE imekua kwa kipindi kifupi sana ukifananisha na masoko mengine ya nchi jirani”. Pia Bw. Mususa amefafanua kwamba: “kwa Kipindi cha Miaka 3 Soko la hisa la Dar es Salaam limefanikiwa kuongeza Washiriki Zaidi ya Laki 2, hii ikiwa imechangiwa na kuraisishwa kwa upatikanaji na ushiriki katika soko la hisa kwa kutumia simu za kiganjani (Mobile Trading  *150*36#). Kwa kipindi chote hiki Soko la hisa limeshirikiana na kampuni za wazawa kurahisisha ufikiwaji wa soko na idadi ya ushiriki katika minada yake”.

DSE inatoa rai kwa watanzania kushiriki katika manunuzi ya hisa kwa njia hii ya mtandao ikijumuisha watanzania walio ndani na nje ya nchi (Diaspora).

Imetolewa na:

 

Menejimenti

Dar es Salaam Stock Exchange PLC

Ndugu Wanahisa.

Napenda kutoa shukrani zangu nyingi sana kwenu kwa uamuzi wa kukubali kutoa gawio kwa wanahisa kutokana na faida iliyopatikana mwaka 2016. Kama ambavyo taarifa za awali zimetolewa, Gawio linatolewa kwa mujibu wa sheria na taratibu na sheria zilizowekwa na Benki kuu ya Tanzania na soko la Hisa la Dar es Salaam. Gawio kwa kila mwanahisa litakuwa ni shs 20 kwa kila hisa baada ya kutoa kodi ya uzio ya asilimia tano. Kwa mantiki hiyo, gawio kwa kila mwanahisa itakuwa ni idadi ya hisa anazomiliki zidisha mara ishirini toa kodi ya zuio ya asilimia tano.

 

Ngugu Mwanahisa

Kwa mujibu wa sheria utaratibu ufuatao utafuatwa kuelekea kuanza kulipa gawio tarehe 6 Julai 2017.

1

Baada ya kutangazwa kwa gawio leo, kutafuata kipindi cha wiki mbili cha uuzaji wa hisa pamoja na gawio (Cum-Dividend) katika soko la hisa Dar es Salaam.

27 Mei 2017 mpaka 15 Juni 2017

2

Kutakuwa na kipindi cha uuzaji wa hisa bila gawio (Ex-Dividend) katika soko la hisa Dar es Salaam

16 Juni 2017 na kuendelea

3

Kufunga rejesta ya orodha ya wanahisa

20 Juni 2017

4

Kufungua tena Rejesta ya orodha ya wanahisa

21 Juni 2017

5

Kuanza kulipa

06 Julai 2017

 

 

designed by asOne
English French German Italian Portuguese Russian Spanish