Bond Fund(Swahili)

FAHAMU Mfuko MPYA wa BOND_FUND kutoka Unit Trust of Tanzania(UTT AMIS) #BondFundIPO

Application Form – Bond Fund

Offer Document – Bond Fund

Waraka wa toleo kwa ufupi – Mfuko wa Hatifungani

 

KUWA WA KWANZA!

SOLOMON Stockbrokers Ltd inakukaribisha kununua vipande vya uwekezaji vya Mfuko mpya wa UTT Amis BOND FUND, kwa Mauzo ya awali ya Tsh 100 kwa kipande bei hii ya Ofa itadumu kuanzia tarehe 16/09/2019 Mpaka 15/10/2019.

Viwango Vya Chini Vya kuanzia

Tsh 50,000 kwa mpango wa kukuza mtaji.

Tsh milion 10 kwa Mpango wa gawio kila mwezi.

Tsh milion 5 kwa mpango wa gawio kila baada ya miezi sita.

 

Changamkia fursa hii kujipatia uwekezaji wenye faida maradufu.

Kwa maelezo zaidi Fika ofisi zetu zilizopo Dar es salaam Posta samora avenue PPF house pia wasiliana nasi kwa namba zifuatazo

+255 764 269090  /  +255 714 269090